• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 26, 2016

  OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YAUA 2-0

  Alex Oxlade-Chamberlain akimtungua kipa wa Reading, Ali Al-Habsi kufungia bao la kwanza kati ya yote mawili aliyoifungia Arsenal katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa 16 Bora Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OXLADE-CHAMBERLAIN APIGA ZOTE MBILI, ARSENAL YAUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top