• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 23, 2016

  CHELSEA YAWAFANYA KITU MBAYA MAN UNITED NA MOURINHO

  Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wa 4-0 dhidi ya Manchester United, timu ya kocha wao wa zamani, Jose Mourinho leo katika Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya kwanza, Gary Cahill dakika ya 21, Eden Hazard dakika ya 62 na N'Golo Kante dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAWAFANYA KITU MBAYA MAN UNITED NA MOURINHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top