• HABARI MPYA

  Jumatano, Oktoba 26, 2016

  KIKOSI KILICHOREJESHA HESHIMA SIMBA SC MWAKA 1991

  Kikosi kilichorejesha heshima Simba SC mwaka 1991 baada ya timu kuyumba mwishoni mwa miaka ya 1980 kiasi cha kukaribia kushuka Daraja. Kikosi hiki kilitwaa ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati 1991 Dar es Salaam na huo ukawa mwanzo wa kupata Simba imara iliyotamba mwanzoni mwa miaka ya 1990 ikiwa ni pamoja na kufika fainali ya Kombe la CAF 1993 na kutwaa mataji mfululizo ya Afrika Mashariki na Kati.  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI KILICHOREJESHA HESHIMA SIMBA SC MWAKA 1991 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top