• HABARI MPYA

  Jumanne, Oktoba 25, 2016

  SIMBA WALIVYOPAA KWA NDEGE LEO KUIFUATA MWADUI

  Wachezaji wa Simba SC wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya safari Mwanza kwenda kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kucheza na Mwadui FC mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Kambarage

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOPAA KWA NDEGE LEO KUIFUATA MWADUI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top