Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga, Abdul Sauko (kulia) akiwa jukwaani jana kufuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana kati ya timu hiyo na Azam FC uliomalizika kwa sare ya 0-0
Viongozi wa zamani wa Yanga, kutoka kulia Salum Mkemi (kulia), Philemon Ntahilaja na Beda Tindwa jana Uwanja wa Uhuru
0 comments:
Post a Comment