• HABARI MPYA

  Jumamosi, Oktoba 22, 2016

  ARSENAL YANG'ANG'ANIWA EMIRATES, SARE 0-0 NA BORO

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akisikitika kwa hasira baada ya kupoteza nafasi ya kufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo wakilazimishwa sare ya 0-0 na Middlesbrough Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG'ANG'ANIWA EMIRATES, SARE 0-0 NA BORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top