• HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2016

  MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA BURNLEY

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiketi jukwaani baada ya kuondolewa kwenye benchi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu yake na Burnley Uwanja wa Old Trafford ambao umemalizika kwa sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top