• HABARI MPYA

  Monday, October 31, 2016

  CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 KWAKE

  Wachezaji wa Chelsea, wakiongozwa na David Luiz kushangilia bao la kwanza la Eden Hazard katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Southampton jana Uwanja wa St Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Chelsea lilifungwa na Diego Costa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 KWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top