• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 31, 2016

  YANGA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA UHURU

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akimpa pasi ya kichwa mchezaji mwenzake, Simon Msuva (kushoto) mbele ya beki Mghana wa Mbao FC, Asante Kwesi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0 
  Amissi Tambwe akimzunguka Asante Kwesi jana Uwanja wa Uhuru
  Beki wa Mbao FC, Steve Mganya (kushoto) akimdhibiti winga wa Yanga, Simon Msuva
  Kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mbao FC
  Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akiwatoka wachezaji wa Mbao
  Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm akiwa kazini jana
  Simon Msuva wa Yanga akiwania mpira dhidi ya kipa wa Mbao, Emmanuel Mseja na beki Steve Kigocha (kushoto)
  Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Mbao FC
  Kikosi cha Yanga jana
  Kikosi cha Mbao jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top