• HABARI MPYA

  Thursday, October 27, 2016

  CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM


  Beki mkongwe wa Chelsea, John Terry akipambana na wachezaji wa West Ham usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi England Uwanja wa London. West Ham ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Cheikhou Kouyate na Edimilson Fernandes, wakati la Chelsea lilifungwa na Gary Cahill  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPIGWA NYUNDO MBILI NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top