Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Francis Coquelin baada ya kufunga mabaoi mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Sunderland Uwanja wa Light. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa Alexis Sanchez wakati la Sunderland lilifungwa na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment