• HABARI MPYA

  Saturday, October 22, 2016

  MESSI APIGA LA USHINDI SEKUNDE YA MWISHO BARCA YAUA 3-2 MESTALLA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Valencia baada ya kufunga bao la tatu kwa penalti ya sekunde ya mwisho katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji wao hao Uwanja wa Mestalla. Messi ndiye aliyefunga bao la kwanza, ingawa Luis Suarez alionekana kuwa amezidi na bao lingine la Barca lilifungwa na Suarez huku ya Valencia yakifungwa na Munir na Rodrigo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA LA USHINDI SEKUNDE YA MWISHO BARCA YAUA 3-2 MESTALLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top