Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Azim Dewji akiwa na kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China mwaka 1992 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam (DIA), sasa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kabla ya safari ya timu hiyo. Dewji pia alikuwa mfadhili wa Simba SC, timu ambayo China alijiunga nayo baadaye mwaka 1994.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment