• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 31, 2016

  RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULINGONI NOVEMBA 5

  Bondia Mfilipino, Manny Pacquiao akiwa na gwiji wa filamu za kibabe Marekani, Sylvester Stallone maarufu kama Rambo au 'Bondia Rocky' mjini Las Vegas, Marekani. Pacquiao yupo katika maandilizi ya mwisho na pambano na Jessie Vargas Novemba 5 mjini Las Vegas uzito wa Welter na mwishoni mwa wiki alitembelewa na Rambo katika gym ya Wild Card mjini Hollywood PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULINGONI NOVEMBA 5 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top