• HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2016

  AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS

  Mshambuliaji wa Leicester City, Ahmed Musa akigalagazana na kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris kuifungia bao la kusawazisha timu yake katika sare ya 1-1 kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu ya England. Bao la Spurs lilifungwa na Vincent Janssen kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Robert Huth PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top