• HABARI MPYA

  Sunday, October 30, 2016

  KWA NINI HUYU SINGANO 'MESSI' WA AZAM FC KAJIFUNIKA HIVI USONI?

  Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwasili mjini Mwanza jana na timu yake Azam FC kwa ajili ya mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Toto Jumatano na Mbao FC Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
  Beki Shomary Kapombe ambaye kama Singano walijiunga na Azam wakitokea Simba SC 
  Kiungo wa zamani wa Yanga, Frank Domayo naye yumo kwenye msafara wa Azam mjini Mwanza 
  Kocha wa Azam, Mspaaniola Zeben Hernandez Rodriguez ambaye timu yake juzi ilishinda 3-2 dhidi ya wenyeji Kagera Sugar mjini Bukoba
  Wachezaji wa Azam wakitoa kwenye mizigo kwenye basi lao mara baada ya kuwasili Mwanza 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KWA NINI HUYU SINGANO 'MESSI' WA AZAM FC KAJIFUNIKA HIVI USONI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top