• HABARI MPYA

  Saturday, October 29, 2016

  RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID IKISHINDA 4-1

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili katika ushindi wa 4-1 ugenini dhidi ya Alaves Uwanja wa Mendizorroza, Vitoria-Gasteiz kwenye La Liga. Ronaldo alifunga mabao matatu, moja kwa penalti na pia akakosa penalti moja wakati bao lingine la Real lilifungwa na Alvaro Morata  na la Alaves lilifungwa na Acosta Deyverson PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID IKISHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top