Mesut Ozil akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Ludogorets ya Bulgaria usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Alexis Sanchez, Theo Walcott na Alex Oxlade-Chamberlain Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment