Theo Walcott akienda hewani kushangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 26 na 33 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Swansea City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal iliyompoteza mchezaji wake, Granit Xhaka aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya70, lilifungwa na Mesut Ozil dakika ya 57 wakati ya Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 38 na Borja Baston dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anioma monarchs, stakeholders endorse Nwoko for second term, backs South
East alignment
-
From Godwin Tsa, Abuja Izu Anioma, the umbrella body of all Anioma people
in Delta North, has endorsed Senator Ned Nwoko for a second term, citing
his le...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment