Romelu Lukaku akiifungia bao la kuongoza Everton dakika ya 64 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester City Uwanja wa Etihad leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kusawazisha la Man City lilifungwa na Nolito dakika ya 72 akimalizia pasi ya David Silva. Katika mchezo huo, Martin Stekelenburg aliokoa penalti mbili za Man City, kwanza ya Kevin De Bruyne dakika ya 43 baada ya David Silva kuangushwa na Phil Jagielka kwenye boksi na baadaye ya Sergio Aguero dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Williams is 'Ronaldinho-like' - but can she win Grand Slam matches?
-
In her latest BBC Sport column from Wimbledon, Naomi Broady looks at if
Serena Williams' comeback showed she can win future Grand Slam matches.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment