Rafinha akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 21 na 36 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya Deportivo La Coruna leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez dakika ya 43 na Lionel Messi dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Should Scotland keep Russell in reserve against South Africa?
-
With Tom Jordan and Fergus Burke impressing in a high-scoring win over
Argentina, could Scotland keep talisman Finn Russell on the bench in their
next Nati...
38 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment