• HABARI MPYA

    Friday, October 02, 2015

    JUMA NYOSSO 'MZEE WA MADOLE' GUMZO HADI ULAYA

    Gazeti la Aftonbladet Sports maarufu kama Spotsbladet la Sweden, limechapisha habari za kufungiwa miaka miwili na kutozwa faini ya Sh. Milioni 2 kwa kosa la kumdhalilisha mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco. (Picha kwa hisani ya Nyupi Mwakikosa, Mtanzania anayeishi Sweden)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUMA NYOSSO 'MZEE WA MADOLE' GUMZO HADI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top