MANCHESTER City wameishusha daraja Queens Park Rangers baada ya kuichapa mabao 6-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England joni ya leo Uwanja wa Etihad.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Sergio Aguero (pichani juu) alifunga mabao matatu katika mchezo huo, la kwanza dakika ya nne, la pili dakika ya 50 na la tatu dakika ya 65 kwa penalti.
Kun Aguero sasa anajisogeza karibu na kiatu cha dhahabu Ligi Kuu England, huku QPR ikiiwapungia mkono wa kwaheri mashabiki wa ligi hiyo.
Mabao mengine ya City yalifungwa na beki Aleksandar Kolarov dakika ya 32, James Milner dakika ya 70 na David Silva dakika ya 87.

.png)
0 comments:
Post a Comment