Meneja Chaneli wa Azam TV, Stella Adams (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo makao makuu ya Azam Media Group (AML), makutano barabara ya Nyerere na Mandela, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa shinano la Kwetu House. Wengine kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji AML, Yahya Mohammed na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Rhys Torrington (kushoto).
0 comments:
Post a Comment