• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 21, 2015

  TAIFA STARS NA MADAGASCAR KATIKA PICHA JANA ROYAL BAFOKENG

  Mshambuliaji wa Tanzania, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Madagascar katika mchezo wa Kundi B Kombe la COSAFA Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rusternburg jana. Madagascar ilishinda 2-0.
  Oscar Joshua wa Tanzania kulia akipambana na mchezaji wa Madagascar
  Juma Luizio wa Tanzania akimtoka beki wa Madagascar
  Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Tanzania (kushoto) akipambana na mchezaji wa Madagascar
  Shomary Kapombe wa Tanzania akipasua katikati ya wachezaji wa Madagascar
  Simon Msuva wa Tanzania akimtika beki wa Madagascar
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA MADAGASCAR KATIKA PICHA JANA ROYAL BAFOKENG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top