• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 24, 2015

  DEGALE AMTWANGA 'KAMA BEGI' DIRRELL NA KUBEBA MKANDA WA DUNIA WA IBF

  DeGale lands a left hand on Dirrell's face as he outpunched his American opponent
  Bondia James DeGale akiwa amemkandamiza konde mpinzani wake, Andre Dirrell katika pambano la ubingwa wa dunia wa IBF uzito wa Super-Middle usiku wa jana mjini Boston, Uingereza. Muingereza DeGale mwenye umri wa miaka 29, ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu, Mcanada Alan Davis akitoa 117-109, Muingereza Howard Foster na Mcanada mwingine, Dan Fitzgerald wakitoa 114-112 katika pambano hilo ambalo DeGale alimuangusha chini mara mbili Mmarekani Dirrell.  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEGALE AMTWANGA 'KAMA BEGI' DIRRELL NA KUBEBA MKANDA WA DUNIA WA IBF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top