• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 22, 2015

  TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA

  TANZANIA imemaliza mechi zake za Kundi B Kombe la COSAFA bila ushidi, ikifungwa zote baada ya jioni ya leo kulala 1-0 mbele ya Lesotho katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.
  Michezo ya awali, Tanzania ilifungwa 1-0 na Swaziland na baadaye 2-0 na Madagascar na sasa inarejea nyumbani, ikiicha michuano hiyo ikiingia hatua ya Robo Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YA KUJIPIGIA, YAPIGWA KIMOKO NA LESOTHO CHA KUONDOKEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top