| Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kushoto) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa wakifurahia baadaya uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) leo uliomrudisha madarakani Sepp Baltter kuendelea kuwa Rais wa bodi hiyo ya soka duniani. Je, furaha hii ya wawakilishi hawa wa Tanzania kwenye uchaguzi huo inamaanisha kura zao zimetoa mshindi? |
0 comments:
Post a Comment