• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 22, 2015

  HASSAN ISIHAKA ANAPOUTATHMINI MKATABA WA SIMBA SC...

  Beki wa Simba SC, Hassan Isihaka akiutathmini Mkataba mpya aliopewa Simba SC. Simba SC wamesema wamemsainisha Mkataba mpya wa miaka mitatu beki huyo anayeinukia vizuri Tanzania. Nyuma ni rais wa klabu, Evans Aveva, akiendelea na yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HASSAN ISIHAKA ANAPOUTATHMINI MKATABA WA SIMBA SC... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top