![]() |
| Yanga SC walikuwa mabingwa michuano hiyo ilipofanyika mara ya mwisho mwaka 2012 |
Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA ambao ndio wamiliki wa mashindano haya watatoa mialiko kwa klabu zenye sifa ya kushiriki na wakipokea uthibitisho wa ushiriki wao watatoa orodha ya klabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo.
Michuano hii inatarajiwa kuafanyika nchini kuanzia Julai 11 hadi Agosti 2, mwaka 2015.



.png)
0 comments:
Post a Comment