Russell Martin wa Norwich City akiwa ameinua Kombe la ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza, maarufu kama championship akishangilia na wenzake baada ya kuifunga Middlesbrough katika fainali jioni ya leo Uwanja wa Wembley. Mabao ya Norwich yalifungwa na Cameron Jerome na Nathan Remond. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment