• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 29, 2015

  SIMBA SC YASAJILI KIPA WA JKU, IVO, CASILLAS NA MANYIKA WAJIPANGE SASA

  Kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abraham Mohammed (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ofisini kwake, Mbezi, Dar es Salaam mara baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo leo.
  Abraham wakati anasaini Mkataba mbele ya Hans Poppe leo Mbezi, Dar es Salaam. Tayari Simba SC ina makipa wanne, Ivo Mapunda, Hussein Sharrif 'Casillas', Peter Manyika na Dennis Richard.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC YASAJILI KIPA WA JKU, IVO, CASILLAS NA MANYIKA WAJIPANGE SASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top