• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 21, 2015

  HAWA NDIYO KIBOKO YETU, KWELI 'WABONGO' TUMEJICHOKEA!

  Kikosi cha Madagascar ambacho jana kimeifunga mabao 2-0 Tanzania, Taifa Stars katika mchezo wa Kundi B Kombe la COSAFA, Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace mjini Rusternburg, Afrika Kusini.
  Kikosi cha Tanzania kilichofungwa 2-0 na Madagascar. Taifa Stars itacheza mechi ya kukamilisha ratiba kesho kabla ya Jumamosi kurejea nyumbani, kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Misri kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAWA NDIYO KIBOKO YETU, KWELI 'WABONGO' TUMEJICHOKEA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top