Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake timu yake katika ushindi wa 4-1 dhidi ya West Brom leo Uwanja wa Emirates katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu England. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na kiungo Jack Wilshere, wakati la kufutia machozi la West Brom lilifungwa na beki, Gareth McAuley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Manchester United bids for Sergej Milinkovic-Savic
-
La Repubblica reports that Manchester United has a bid to Lazio for
midfielder Sergej Milinkovic-Savic. With the departure of Nemanja Matic,
United are in ...
Dakika 18 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni