Wachezaji wa Liverpool, Adam Lallana (kushoto), Philippe Coutinho (katikati) na Steven Gerrard wakiwa hoi baada ya kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa Stoke City leo katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu England. Mame Biram Diouf alifunga mabao mawili, Jonathan Walters, Steven N'Zonzi, Charlie Adam na Peter Crouch kila mmoja alifuga moja, wakati bao pekee la Liverpool lilifungwa na Gerrard aliyekuwa anacheza mechi ya mwisho kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani msimu ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Women's Open first-round highlights
-
Highlights of the opening day of the Women’s Open from Royal Lytham & St
Annes.
2 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment