Nahodha wa Chelsea, John Terry akiinua Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya England leo baada ya mchezo dhidi ya Sunderland Uwanja wa Stamford Bridge leo ambao walishinda 3-1. Mabao ya Chelsea iliyojihakikishia ubingwa huo mapema mwezi huu yalifungwa na Lioc Remy mawili na Diego Costa moja kwa penalti baada ya John O'Shea kumchezea rafu Juan Cuadrado wakati bao la kufutia machozi la Sunderland lilifungwa na Steven Fletcher PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago


.png)
0 comments:
Post a Comment