• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 20, 2015

  STEVEN GERRARD AAGWA KWA TUZO LIVERPOOL

  NAHODHA anayeondoka Liverpool, Steven Gerrard ameshinda tuzo ya Mafanikio ya Muda Mrefu katika timu katika sherehe za tuzo za Msimu za timu hiyo usiku wa jana.
  Nahodha huyo wa Wekundu wa Anfield, ataichezea kwa mara ya mwisho Liverpool dhidi ya Stoke Jumapili kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani msimu ujao.
  Akizungumza wakati wa sherehe za utoaji tuzo hizo ukumbi wa Echo Arena, Gerrard alisema; "Nafikiri watu wanataka kuniliza kwa hotuba kadhaa nilizotoa wiki hii. Ningependa kuwashukuru makocha wote na makocha, wachezaji wenzangu na wachezaji wenzangu wa zamani,"
  Liverpool captain Steven Gerrard picked up the club's Outstanding Achievement award on Tuesday night

  Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard ametwaa tuzo ya Mafanikio ya Muda Mrefu Liverpoo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STEVEN GERRARD AAGWA KWA TUZO LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top