• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 25, 2015

  YANGA SC WAMKABIDHI DEUS KASEKE JEZI YA CHUJI

  Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kiungo mpya Deus Kaseke (kulia) leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu, Jerry Muro.
  Kaseke amepewa jezi namba nne iliyoachwa wazi na kiungo wa zamani wa timu hiyo, Athumani Iddi 'Chuji' aliyeachwa misimu miwili iliyopita
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAMKABIDHI DEUS KASEKE JEZI YA CHUJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top