• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 30, 2015

  AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER

  Although Algieri landed some telling blows, Khan delivered the more eyecatching combinations

  Bondia Amir Khan (kulia) akimsukumia konde mpinzani wake, Chris Algieri (kushoto) katika pambano lao ubingwa wa dunia wa WBC Silver lililofanyika ukumbi wa Barclays Center, Brooklyn, New York, Marekani usiku wa kuamkia leo. Khan alishinda pwa pointi za majaji wote 117-111 (wawili) na 115-113 ingawa hakuwa katika ubora wake uliotarajiwa. Kwa mara nyingine Khan amemtaka Floyd Mayweather apigane naye September PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AMIR KHAN AMSHINDA CHRIS ALGIERI, SASA AMGONGEA HODI MLANGONI MAYWEATHER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top