• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 24, 2015

  LAMPARD AWAAGA NA BAO MAN CITY

  Lampard applauds the crowd as he leaves the field after being substituted for Jesus Navas in the 76th minute 
  Kiungo Frank Lampard akiwapigia makofi mashabiki wa Manchester City wakati anatoka uwanjani kumpisha Jesus Navas dakika ya 76 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa Etihad leo. City ilishinda 2-0, mabao yake yakifungwa na Lampard na Sergio Aguero. Hii ilikuwa mechi ya mwisho ya Lampard aliyekuwa kwa mkopo Man City kabla ya kurejea Marekani. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LAMPARD AWAAGA NA BAO MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top