• HABARI MPYA

    Saturday, March 07, 2015

    TETE AMTWANGA MUINGEREZA KWAO NA KUBEBA MKANDA WA DUNIA WA IBF

    Paul Butler's attempt to become a two-weight world champion ended in failure
    Bondia Paul Butler wa Uingereza (kulia) akianguka chini baada ya kupigwa ngumi na Zolani Tete wa Afrika Kusini katika pambano la kuwania taji la dunia la IBF uzirto wa Super Fly usiku wa jana ukumbi wa Echo Arena mjini Liverpool, England. Zolani Tete alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nane.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2983644/Paul-Butler-KO-d-Zolani-Tete-world-super-flyweight-title-fight-Liverpool.html#ixzz3Tglczafh 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TETE AMTWANGA MUINGEREZA KWAO NA KUBEBA MKANDA WA DUNIA WA IBF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top