Luis Suarez akishangilia baada yaa kuifungia Barcelona katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Villarreal Kombe la Mfalme usiku huu. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Neymar na sasa timu hiyo inakwenda Fainali ya Kombe la Mfalme kwa ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya awali kushinda pia 3-2.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2979818/Villarreal-1-3-Barcelona-agg-2-6-Neymar-double-Luis-Suarez-str-books-Barca-s-place-Copa-del-Rey-final.html#ixzz3TTHp1ReB


.png)
0 comments:
Post a Comment