• HABARI MPYA

    Monday, March 09, 2015

    STAILI YA IVO JANA ILIKUWA LAZIMA SIMBA SC ISHINDE

    Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda jana aliibuka na mtindo wa kupaka rangi ndevu wake wakati timu yake ikimenyana na mahasimu Yanga SC. Hii maana yake Ivo alidhamiria kung'ara kwenye mchezo wa jana na akafanikiwa baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda 1-0 dhidi ya timu yake ya zamani, Yanga SC katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STAILI YA IVO JANA ILIKUWA LAZIMA SIMBA SC ISHINDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top