• HABARI MPYA

    Monday, March 09, 2015

    'DEMU WA MANYIKA' KWA RAHA ZAKE JANA TAIFA SIMBA IKIITAFUNA YANGA SC

    Binti huyu, Naima Salum amekuwa hakosekani katika mechi za Simba SC siku za karibuni akiwa amevalia vazi la Wekundu wa Msimbazi siku zote kama ambavyo kamera ya BIN ZUBEIRY ilimnasa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu yake ikimenyana na wapinzani wa jadi, Yanga SC na kushinda 1-0. Binti huyo inadaiwa yupo katika mahusiano ya kimapenzi na kipa wa Simba SC, Peter Manyika.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'DEMU WA MANYIKA' KWA RAHA ZAKE JANA TAIFA SIMBA IKIITAFUNA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top