• HABARI MPYA

    Monday, March 09, 2015

    SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Ibrahim Hajib akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Yanga SC, Said Juma 'Kizota' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0.
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akimtoka beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala'
    Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akipambana na beki wa Simba SC, Juuko Murushid
    Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngassa kulia, akimuacha chini Tshabalala wa Simba SC
    Wachezaji wa timu zote jana walishiriki kampeni ya kupiga vita mauwaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi, maarufu kama Albino 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top