Bondia Floyd Mayweather akifanya mazoezi ya kurusha ngumi huku amebeba vyumba vizito mikononi ili kuongeza uzito na kasi ya ngumi zake kuelekea pambano lake na Manny Pacquiao Mei 2, mwaka huu ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2980334/Richard-Sherman-joins-Floyd-Mayweather-Jnr-build-Manny-Pacquiao-mega-fight.html#ixzz3TUsgJSar


.png)
0 comments:
Post a Comment