• HABARI MPYA

    Thursday, March 05, 2015

    PACQUIAO AANZA KWA KUSAKA 'UPEPO' ZAIDI

    Pacquiao was joined by a Jack Russell Terrier called Pacman as he stepped up his preparations
    Bondia Manny Pacquiao (kulia) akiwa na Jack Russell Terrier aitwaye Pacman wakati wa mazoezi ya asubuhi leo, kujiandaa na pambano dhidi ya Floyd Mayweather Mei 2, mwaka huu mjini Las Vegas, Marekani.
    Pacquiao took several members of his team on an early-morning run
    Pacquiao took several members of his team on an early-morning run
    Pacquiao alianzia kambi yake mazoezi nchini Ufilipino kabla ya kuhamia Los Angeles, Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita kwa ajili ya kujifua zaidi

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2979841/Manny-Pacquiao-joined-Jack-Russell-early-morning-run.html#ixzz3TUuAzA4P 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PACQUIAO AANZA KWA KUSAKA 'UPEPO' ZAIDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top