NANI MTANI JEMBE ILIVYOKUWA FUNIKA BOVU NDANI YA KINO
Mshereheshaji katika kampeni ya Nani Mtani Jembe (kulia) akimkabidhi zawadi ya jezi Mshabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoendesha kampeni hiyo kwa ajili ya mashabiki wa Simba na Yanga iliyofanyika Kinondoni kwa Manyanya Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment