• HABARI MPYA

    Thursday, November 14, 2013

    MCHEKI COOL J KASEJA AKIPIGA CHABO MADOGO WALIVYOWAADHIRI MAFAZA STARS JANA KARUME

    Kipa mpya wa Yanga SC, Juma Kaseja kulia akiangalia mechi kati ya timu ya pili ya taifa, Future Young Taifa Stars dhidi ya timu ya kwanza, Taifa Stars jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Future waliifunga Taifa Stars 1-0. Kaseja ameachwa Stars baada ya kutocheza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kutokana na klabu yake ya zamani Simba SC na sasa anatarajia kurejea katika timu ya nchi mara atakapoanza kazi rasmi Jangwani. 
    Kulia ni rafiki yake na kushoto ni mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Dorris 'Jembe' Malyaga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEKI COOL J KASEJA AKIPIGA CHABO MADOGO WALIVYOWAADHIRI MAFAZA STARS JANA KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top