• HABARI MPYA

    Wednesday, November 13, 2013

    MADOGO STARS WALIVYOWAADHIRI KAKA ZAO LEO KARUME, NGASSA HADI HURUMA!

    Beki wa kikosi cha pili cha timu ya taifa, Future Young Taifa Stars, Ismail Gambo 'Kussi' akimuacha chini mshambuliaji wa kikosi cha kwanza cha timu ya taifa, Taifa Stars, Mrisho Ngassa katika mechi ya kirafiki baina ya timu hizo jioni ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Future walishinda 1-0.  

    Ismail Gambo 'Kussi' kulia akimzuia Amri Kiemba

    Wachezaji wa Future, Elias Maguri kulia na Haroun Chanongo kushoto wakimdhibiti kiungo wa Taifa Stars, Athumani Iddi 'Chuji

    Chuji alifanikiwa kupasua katikati

    Haroun Chanongo akipambana na Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Taifa Stars kulia 

    Kussi hakumpa nafasi kabisa Ngassa leo kufurukuta

    John Kabanda wa Future akimdhibiti Ngassa

    Kabanda na Ngassa

    Mpira wa nanai..Hapa kuna Juma Luizio na Ramadhani Singano wa Future dhidi ya Chuji na Sure Boy wa Stars

    Juma Luizio amemgeuza Aggrey Morris

    Chanongo akimfunga tela Sure Boy

    Ngassa akitafuta  mbinu za kumtoka Said Mourad wa Future

    Hussein Javu akimtoka Aggrey Morris

    Joseph Kimwaga akipambana na Kevin Yondan

    Farid Mussa kulia akimpiga chenga za mwili Kevin Yondan

    Kikosi cha Taifa Stars

    Kikosi cha Future

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi kulia akizungumza na kocha Kim Poulsen

    Jamal Malinzi akizungumza na wachezaji wa vikosi hivyo baada ya mechi

    Wachezaji wakisikiliza

    Wachezaji wakisikiliza

    Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kushoto na Fred Kidau wakimpongeza Ivo Mapunda

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MADOGO STARS WALIVYOWAADHIRI KAKA ZAO LEO KARUME, NGASSA HADI HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top